Na wewe ndogu hauna hata point!!Kwanza utueleze sababu ya kumpenda mara ya kwanza, na mliahidiana nini hadi kuwa wapenzi.. na baadaye utuelezee kwanini unataka kumuacha?Na umekaa naye muda gani...Siyo kupost tu na kututega kwa kuomba ushauri bila taarifa nyingine..Unadhani yeye hapendi KUHESHIMIKA?Kwanini umpotezee muda halafu sasa ndiyo umuacha...!The Lady loves, ndiyo maana...The cost of the Love she loves you,equals to her life...HER LOVE TO YOU=HER LOSING LIFE.
Tafakari na chukua hatua.Nawakilisha.