unaweza ukamwacha kumbe huyo ndo mkweli utakayempata tu..mimi nikipata demu najua 99% ni mkweli, namuoa baada ya miezi tu japokuwa ndo kwanza nina miaka 21..siku hizi wa ukweli wamepotea wote, they are all gold-diggers. Mungu akinipa bahati, Amina sitaipoteza.