PeterLugomo Member Joined Aug 27, 2015 Posts 19 Reaction score 17 Oct 16, 2023 #1 Wadau wanauliza kama kuna mtu anaufaham na osha na zile course zake na nafasi ya upatikanaji wa ajira baada ya kusoma zile course.
Wadau wanauliza kama kuna mtu anaufaham na osha na zile course zake na nafasi ya upatikanaji wa ajira baada ya kusoma zile course.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,199 Reaction score 42,926 Oct 16, 2023 #2 Kama unayo hela ya kulipia kasome hiyo kozi,
speech JF-Expert Member Joined Mar 4, 2022 Posts 506 Reaction score 1,325 Oct 16, 2023 #3 PeterLugomo said: Wadau wanauliza kama kuna mtu anaufaham na osha na zile course zake na nafasi ya upatikanaji wa ajira baada ya kusoma zile course. Click to expand... Naona nzuri ni safety regulation in industrial (sina uwakika kama ni jina sahii ya hyo coarse )
PeterLugomo said: Wadau wanauliza kama kuna mtu anaufaham na osha na zile course zake na nafasi ya upatikanaji wa ajira baada ya kusoma zile course. Click to expand... Naona nzuri ni safety regulation in industrial (sina uwakika kama ni jina sahii ya hyo coarse )
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,548 Reaction score 860,659 Oct 16, 2023 #4 PeterLugomo said: Wadau wanauliza kama kuna mtu anaufaham na osha na zile course zake na nafasi ya upatikanaji wa ajira baada ya kusoma zile course. Click to expand... OSHA hudili na waajiriwa
PeterLugomo said: Wadau wanauliza kama kuna mtu anaufaham na osha na zile course zake na nafasi ya upatikanaji wa ajira baada ya kusoma zile course. Click to expand... OSHA hudili na waajiriwa
Mike Moe JF-Expert Member Joined Nov 3, 2019 Posts 422 Reaction score 486 Oct 20, 2023 #5 Occupational safety and health authority (OSHA) Nakumbuka tulisoma hii kitu kwenye module ya industrial safety tukiwa mwaka wa kwanza pale TANZANIA INSTITUTE OF RAILWAY TECHNOLOGY (TIRTEC)
Occupational safety and health authority (OSHA) Nakumbuka tulisoma hii kitu kwenye module ya industrial safety tukiwa mwaka wa kwanza pale TANZANIA INSTITUTE OF RAILWAY TECHNOLOGY (TIRTEC)
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 6,037 Reaction score 3,848 Dec 17, 2024 #6 Asee
1academ JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 2,673 Reaction score 4,324 Dec 17, 2024 #7 kozi iko vizurii
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 6,037 Reaction score 3,848 Mar 12, 2025 #8 ..