Everyone is talking about this right now. The best answer we have is 24. How many squares do you see?
Tuanze hivi:
I. Miraba (SQUARES) midogo midogo inayotengenezwa na umbile kubwa (pasipo miraba ile midogo midogo ambayo imelikata umbile kubwa kwa ndani):
(i) Miraba midogo kabisa ni 16
(ii) Vyumba vinne iko 18 (9 toka
juu kushoto kwenda kulia (or vice versa), na 9 kutoka
chini kushoto kwenda kulia (or vice versa)
(iii) Vyuba 9 iko 4 (2 toka juu kushoto kwenda kulia (or vice versa), na 2 kutoka chini kwenda kulia (or vice versa)
(iv) Na hatimaye, kubwa lao liko 1
II. Miraba midogo katikati ya umbile kubwa
(v) Midogo kabisa iko 8
(iv) Mikubwa iko 2
Jumla ya miraba kwenye umbile hili iko 49. Hata hivyo,
misitatili ni mingi zaidi ya hiyo namba