G Gulwa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2008 Posts 11,109 Reaction score 17,433 Jul 26, 2024 #1 Leo nimepita makumbusho stendi ya daladala hakuna magari yanayotoka. Magari yote yanapaki na hayapakii Abiria wameduwaa hawajui wafanye nini. Mwenye taarifa sahihi atujuze
Leo nimepita makumbusho stendi ya daladala hakuna magari yanayotoka. Magari yote yanapaki na hayapakii Abiria wameduwaa hawajui wafanye nini. Mwenye taarifa sahihi atujuze
L LDA COMPANY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 340 Reaction score 633 Jul 26, 2024 #2 Si uwaulize hapo
stabilityman JF-Expert Member Joined Jul 9, 2024 Posts 834 Reaction score 1,774 Jul 26, 2024 #3 Eheeee acha weee
J Joline JF-Expert Member Joined Sep 24, 2020 Posts 4,796 Reaction score 7,678 Jul 26, 2024 #4 Waulize hapo utupe taarifa na sisi ambao hatujqtoka majumbani tujipange
Yimakatso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 8,006 Reaction score 12,022 Jul 26, 2024 #5 Umeshindwa kujifanya wewe ni abiria ukauliza kuhusu usafiri mkuu? Ungefanya hivyo usingekuja na mtindo wa swali bali ungeleta taarifa rasmi.
Umeshindwa kujifanya wewe ni abiria ukauliza kuhusu usafiri mkuu? Ungefanya hivyo usingekuja na mtindo wa swali bali ungeleta taarifa rasmi.