Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,138
- 33,525
Moderator unapenda kupangia uzi ila za CCM ofisi za abduli wakisema vipi uwezi kuzifuta naomba usibadilishe chochote.
Nashukuru Mungu kunipa uhai mpaka sasa nilipo kwa wazungu wenzetu wanaacha vitabu waliyo yaona.
Mfumo wa serikali ya Tanzania unatisha tena idara ya polisi.
Vyeo vya polisi unavipata kutokana na ukatili wako au ukatili wa kuibeba CCM.
JF mnaweza kubisha ila ndani jeshi wanafahamu sio PGO.
kuna maafisa wengi ambao sio vizuri kuwataja hapa ila wengi elimu hawana ila sababu ya ukatili wao walipanda vyeo ambavyo wanaogopwa mpaka na wakuu wa vituo mpaka makao makuu.
Sio kila polisi ana ubaya wengine wanaumia kwa mabaya ya group la mapolisi ambao wanatumika kwa mambo kama:
1•Wengine wapo kiharifu .
2•wengine wamekuwa kwa ajili kazi za watu na viongozi.
3•wengine wapo kwa ajili chama cha CCM.Tumeona mpaka mwengine alikuwa IGP mstaafu na bado mtaona.
Jeshi la polisi mkiona linakosa majibu ya kuwapa kumbukeni kuna nyuma ya jeshi la polisi lengine mfano huu hata sudani kwa bashil walikana kuwa janja widi siyo yao leo ndio RSF mwisho ya siku inapingana na serikali.
Kuna siku kutakuwa na polisi mbili au jeshi mbili.