Kuna mambo watu wanayapitia ili wengine wajifunze

Uliyoeleza ni utumwa wa ngono.
Kwa anayofanya, inamzuia nini Mungu kuchukua kiumbe chake kama ilivyotokea kwa mumewe?
 
Shida ni moja tu, mtu akijua unampenda na huwezi kumuacha anaanza legeza na kusahau majukumu yake na hii inaapply kote kote sasa kama wewe ndie uliyependa sana, jiandae tu kisaikolojia mtori upo chini!
 
Ni vyema sana kujifunza kwa waliofanikiwa.
Lazima tukubali mwanaume ni kichwa,mwanaume ni baba na sisi ni wasaidizi.
 
Ah wanawake hawaeleweki, mfano mimi toka nianze kuishi na wife,Mwaka 1sasa, sijawahi kumnunia , kumgombeza , kuchepuka wala kumpiga, ila yeye haipiti wiki 2 ananuna , kitu kidogo tu mara kanuna, sometimes najiuliza hivi huyu shida yake nini?! [emoji19]
 
Wanaume tunaopitia changamoto za ndoa pindi tuonapo andiko kama hizi tunafarijika sana na kujiuliza inamaana hawa wake zetu huwa hawaoni maandiko mazuri kama haya kweli? Au kwa sababu wameshaizoea ndoa basi wanafanya bora liende!
wangu nimemtumia hili bandiko alicho jibu ni siri yangu,
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…