Kuna Makanisa Yamejengeka Jama!

Ukitoka nyumba ya ibada hutakiwi kumuongalia ke kwa nyuma....utamwachia baraka zako.
 
Afu hyo chura ni ya mbantu mwenzetu kabisa
 
Sadaka ndo zimefanya mavitu sasa huyo muumini atasababisha wazee watoke Na sadaka waje kuhonga
 
Waswahili bana mada ya kanisa chura ndio nini tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu unataka kuniambia huyo aliyepiga picha alishindwa kusimama mbele ya hyo chura ili tulione kanisa pekee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…