Tatizo utakalokutana nalo ni memory card ikifa na hua zinakufa kirahisi kuliko internal memory.
Tatizo jingine loading speed ya apps, memory card nyingi hasa wengi wanapenda za bei chini hua zina speed ndogo, kwa hiyo wakati wa kuload application itakua slow, ila app ikiishafunguka itakua na speed ya kawaida coz inakua loaded kwenye RAM. Zaidi ya hapo hutopata shida yoyote