hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Ni mwaka mmoja sasa toka bunge live lifungungwe lakini hababari za bunge tunazipata tena kwa haraka sana.
kwa ufupi tu niseme huyo aliye kuwa amebuni hilo wazo.la kulifungia bunge live Alikuwa anamawazo butu na ndio maana hayajatimiza malengo
Au niseme Alikuwa hana mawazo ambayo yana shabaha ya kuumaliza upinzani.
Kwahiyo nilikuwa nawaomba serikali na waliobuni hilo wazo la kufungia bunge live. Na ninawashauri kila kila kitu wanacho Fanya Au kufikiria kila baada Muda flani lazima wapige hesabu.
Na ninawaomba wafikrie upya toka wamelifungia bunge live wamepata nini na nini kilicho ongezeka ktk maisha yao.
Na kama Wataona hamna kilicho ongezeka wala hamna walicho zuia basi kutakua hakuna maana kulifungia bunge live.