Kuna kuolewa hapa kweli?

PuraVida_Fire

Senior Member
Joined
Apr 21, 2020
Posts
148
Reaction score
86
Ki ukweli nimemchoka huyu BF wangu, yeye hawezi fanya mapenzi bila kunila choo, ananiudhi sana.

Nimechoka kwa kweli, mwanzo nilikuwa naona poa na nilikuwa naenjoy ila sasa wala sifurahi tena, nikimnyima tu ni ugomvi mkubwa yani, ki ukweli nataka kumuacha maana huu mchezo umenichosha.

Huyu mtu ni katili sana na ananitishia. Nalifanyaje hili baba jamani?

=======

Kisa kingine cha Boyfriend huyo

======

Kiswahili kinanisumbua anyways. You as a woman you set standards of how a man will treat you. What you allow is what will continue. Kama siku ya kwanza ulimpa ili kumfurahisha ndo uliaribu hapo. Sasa we endelea tu. Ikiwezekana akuoe kabisa.
 
Na hili ndio tatizo, toka mwanzo nilimkubalia na tuliendelea hivyo ila sasa sitaki tena, nikimwambia wala hanielewi kabisa, ugomvi sio wa kawaida yaani.
 
Mwanzo ulikuwa unafurahia ila kwa sasa hufurahii, nini sababu?? Kosa lako ni kukubali huo mchezo mwanzo. Mwanaume anayekuthamini na ana malengo na wewe hawezi kukufanyia huo mchezo. Mbaya zaidi ni mnyanyasaji pia, tambua thamani yako na kimbia mapema hakufai huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…