Huyu anawatesa sana mambumbumbu
Na wewe una gubu! Nimefuatilia post zako nyingi, ni kuiongelea vibaya Simba tu! Mmeshachukua ubingwa, haujaridhika tuuuu?Kuna tatizo kubwa sana pale ndani.
Yes! Barbara amesema “Everything is OK” lakini ameisema ili kuepusha upepo mbaya masikioni pa mashabiki wa soka.
Deep down in her heart kuna kitu hajafurahishwa nacho. Ilikuwa atangaze kuiachia nafasi kwa kisingizio kuwa anaenda nchi ya mbali kufanya kazi fulani. Baada ya kujifikiria akaamua kuhairisha jaribio la kuachia kiti.
Pesa tamuuu wewe asikwambie mtu. Madam wenu ameamua kuendelea kufanya kazi lakini bado atafanya kazi na watu ambao bado ana chuki nao. Yes atapaswa kufanya kazi kwa karibu na Kassim.
Si mnajua tabia yake ya chuki, visasi na majivuni? Ndio basi hakuna jambo litafanyika kwa manufaa bali ni suala la kujionyesha na kujithibitishia kuwa mimi ni bora kuliko wewe.
Jambo kubwa zaidi ni saga ya Bernard Morrison. Hahaha CEO bhana, ana mambo mengi mno huyu bi mdashi.
Anyway acha niingie kitandani sasa niwaachie muda wa kumeng’enya machache haya ila ile klabu ina mambo ya siri sana kama alivyo jisemea Bernard Morrison mwenyewe [emoji23][emoji23]
“Tumia Akili, Usitumie Uloto Wa Ugoko Kufikiri”
Hujawawahi kuona wanaokesha wakiiongelea vibaya Yanga?Hapakufai humu rudi kwenye level zako kule FBNa wewe una gubu! Nimefuatilia post zako nyingi, ni kuiongelea vibaya Simba tu! Mmeshachukua ubingwa, haujaridhika tuuuu?
Sikushangai! Uliko, wenye akili ni wawili tu!Hujawawahi kuona wanaokesha wakiiongelea vibaya Yanga?Hapakufai humu rudi kwenye level zako kule FB
Hiyo timu ni ya wapiWaache wafu wazikane wao kwa wao. Wananchi akili zetu zote kwa sasa ni kwenye kombe la shirikisho la Azam dhidi ya Ciastal Union.
Hiki chuo chenu cha kuzalisha wajinga kinafanya kazi sana wajinga mnaongezeka kwa kasi sanaKuna tatizo kubwa sana pale ndani.
Yes! Barbara amesema “Everything is OK” lakini ameisema ili kuepusha upepo mbaya masikioni pa mashabiki wa soka.
Deep down in her heart kuna kitu hajafurahishwa nacho. Ilikuwa atangaze kuiachia nafasi kwa kisingizio kuwa anaenda nchi ya mbali kufanya kazi fulani. Baada ya kujifikiria akaamua kuhairisha jaribio la kuachia kiti.
Pesa tamuuu wewe asikwambie mtu. Madam wenu ameamua kuendelea kufanya kazi lakini bado atafanya kazi na watu ambao bado ana chuki nao. Yes atapaswa kufanya kazi kwa karibu na Kassim.
Si mnajua tabia yake ya chuki, visasi na majivuni? Ndio basi hakuna jambo litafanyika kwa manufaa bali ni suala la kujionyesha na kujithibitishia kuwa mimi ni bora kuliko wewe.
Jambo kubwa zaidi ni saga ya Bernard Morrison. Hahaha CEO bhana, ana mambo mengi mno huyu bi mdashi.
Anyway acha niingie kitandani sasa niwaachie muda wa kumeng’enya machache haya ila ile klabu ina mambo ya siri sana kama alivyo jisemea Bernard Morrison mwenyewe [emoji23][emoji23]
“Tumia Akili, Usitumie Uloto Wa Ugoko Kufikiri”
Babra ni fagio la chuma Yule mwanamke, ngoja aondoe hawa waswahili ili nasisi tufikie levels za Al ahlyKassim Dewji mnafiki, yeye ndie mvurugaji, kauli yake ya hovyo aliyoitoa siku za karibuni kuhusu Barbra kwamba ndie anawaburuza wajumbe wa Simba SC ililenga kuleta mvurugano klabuni, bahati nzuri ilipuuzwa.
Lazima ufike wakati tuache mpira wetu uendeshwe kisasa, hawa wazee waliozoea fitna za mwaka 47 wawapishe kizazi kipya kilete mabadiliko yatakayotupeleka kushindana na vigogo wa Afrika, wao walishindwa na fitna zao za kumfunga mtani tu.
Wacha Babra afanye kazi acha nongwa wewe churaKuna tatizo kubwa sana pale ndani.
Yes! Barbara amesema “Everything is OK” lakini ameisema ili kuepusha upepo mbaya masikioni pa mashabiki wa soka.
Deep down in her heart kuna kitu hajafurahishwa nacho. Ilikuwa atangaze kuiachia nafasi kwa kisingizio kuwa anaenda nchi ya mbali kufanya kazi fulani. Baada ya kujifikiria akaamua kuhairisha jaribio la kuachia kiti.
Pesa tamuuu wewe asikwambie mtu. Madam wenu ameamua kuendelea kufanya kazi lakini bado atafanya kazi na watu ambao bado ana chuki nao. Yes atapaswa kufanya kazi kwa karibu na Kassim.
Si mnajua tabia yake ya chuki, visasi na majivuni? Ndio basi hakuna jambo litafanyika kwa manufaa bali ni suala la kujionyesha na kujithibitishia kuwa mimi ni bora kuliko wewe.
Jambo kubwa zaidi ni saga ya Bernard Morrison. Hahaha CEO bhana, ana mambo mengi mno huyu bi mdashi.
Anyway acha niingie kitandani sasa niwaachie muda wa kumeng’enya machache haya ila ile klabu ina mambo ya siri sana kama alivyo jisemea Bernard Morrison mwenyewe [emoji23][emoji23]
“Tumia Akili, Usitumie Uloto Wa Ugoko Kufikiri”
Vua hivyo viatu vimebana mpka akili yakoSikushangai! Uliko, wenye akili ni wawili tu!
Ni nani aliyempa barua Morrison akapumzike?Kassim Dewji mnafiki, yeye ndie mvurugaji, kauli yake ya hovyo aliyoitoa siku za karibuni kuhusu Barbra kwamba ndie anawaburuza wajumbe wa Simba SC ililenga kuleta mvurugano klabuni, bahati nzuri ilipuuzwa.
Lazima ufike wakati tuache mpira wetu uendeshwe kisasa, hawa wazee waliozoea fitna za mwaka 47 wawapishe kizazi kipya kilete mabadiliko yatakayotupeleka kushindana na vigogo wa Afrika, wao walishindwa na fitna zao za kumfunga mtani tu.
Yaani utafikiri mke mwenza aliyeachika[emoji848][emoji848][emoji848]Na wewe una gubu! Nimefuatilia post zako nyingi, ni kuiongelea vibaya Simba tu! Mmeshachukua ubingwa, haujaridhika tuuuu?