Kuna kitu cha kujifunza hapa

Ndo maana huwa tumevaa hofu isiyokuwa na tumaini ndani yake, tunaogopa sana kuanguka.
 
Mafanikio ni kuthubutu....Mungu atakuonyesha njia
 
Ndo maana huwa tumevaa hofu isiyokuwa na tumaini ndani yake, tunaogopa sana kuanguka.
Kweli kabisa hofu ya kujaribu muda mwingine ndio inayotukosesha mafanikio
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…