fuma
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 214
- 407
Jipu la kutosikia. Kuona wanayozungumza wananchi si ya maana, wananchi (wenye nchi yao) leo wanasimangwa, wanakejeliwa, hawatiliwi maanani kwa kile wasemacho.
Jipu la upofu. Yanayotukia leo katika jamii yetu hayana maana kwao, hali inazidi kuwa mbaya, polisi wanakufa lakini hili halionekani. Nchi ni salama, salama sana.
Jipu la majivuno na kiburi. Ni sawa kutowasikiliza, ni sawa kuwapuuza lakini usijitoe ufahamu na kuwakejeli na kuwaona hawafai au kuwadharau.
Nani angeipenda safari ya lori? Watu wameichoka nadhani na kuna siku watazidiwa na uchovu na wote watashuka
Siku yaja, wacha nikae kimya!