Wanapiga simu, wanakuwa na taarifa zako, wazazi, ndugu na jamaa zako, wanakuaminisha na wanakwambia kuwa wametumwa na mama au baba uwape pesa kadhaa kwa ajili ya mzigo wa biashara, kwa kuwaamini unajikuta umetumaHujasema katapeliwa vipi?
Mkuu hao ni watu wa karibu wame wachezea mchezoWanapiga simu, wanakuwa na taarifa zako, wazazi, ndugu na jamaa zako, wanakuaminisha na wanakwambia kuwa wametumwa na mama au baba uwape pesa kadhaa kwa ajili ya mzigo wa biashara, kwa kuwaamini unajikuta umetuma
Sent using Jamii Forums mobile app
kabisaMkuu hao ni watu wa karibu wame wachezea mchezo
Siyo watu wa karibu wala nini, kwani technic za kudadavua particulars za mtu kwenye mtandao wewe hauzijui?Mkuu hao ni watu wa karibu wame wachezea mchezo
kwahiyo unataka kusemaje!?Nikajua baada ya huu usajili kwa kutumia alama za Vidole basi hata zile meseji za " Ile hela tuma kwenye hii namba " zitaisha Ila kumbe hamna kitu, kila siku napokea meseji zao.
Tatizo namba zisizosajiliwa wanaziondoa kidogokidogo, sasa hivi wameanza na watu wenye namba za NIDA ambao simu zao hawajazisajili.Nikajua baada ya huu usajili kwa kutumia alama za Vidole basi hata zile meseji za " Ile hela tuma kwenye hii namba " zitaisha Ila kumbe hamna kitu, kila siku napokea meseji zao.
Utapeli wa mwaka 47Wanapiga simu, wanakuwa na taarifa zako, wazazi, ndugu na jamaa zako, wanakuaminisha na wanakwambia kuwa wametumwa na mama au baba uwape pesa kadhaa kwa ajili ya mzigo wa biashara, kwa kuwaamini unajikuta umetuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana bt muelimishe kuhusu wizi wa mtandaoni na mwambie awe makini next time,asitume hela kwa mtu ambaye humfaham hata akisema mama yako mgonjwa, aconfirm na mama kwanza.Wanapiga simu, wanakuwa na taarifa zako, wazazi, ndugu na jamaa zako, wanakuaminisha na wanakwambia kuwa wametumwa na mama au baba uwape pesa kadhaa kwa ajili ya mzigo wa biashara, kwa kuwaamini unajikuta umetuma
Sent using Jamii Forums mobile app