Baba Collin JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 456 Reaction score 58 May 31, 2012 #1 wadau napenda kufahamu ni kwanini viongozi wetu wanaona ni dhambi na ni vigumu kujadili mustakabali wa muungano wa tanganyika na zanzibar?je kuna hatari gani ya kuuvunja?
wadau napenda kufahamu ni kwanini viongozi wetu wanaona ni dhambi na ni vigumu kujadili mustakabali wa muungano wa tanganyika na zanzibar?je kuna hatari gani ya kuuvunja?