Kuna haja ya kuwa na JF Fantasy EPL

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,530
Reaction score
3,422
Epl ndiyo ligi pendwa kwa ukanda wa Africa mashariki hivyo watu wengi wanaifuatilia.

JF fpl kwanza itangaza zaidi Forum lakini pia itakuwa burudani kwa members pia.

Anaweza tafutwa mdhamini kila gw winner akapata 100k kwa week 38 ni 3.8M wa jumla 1M na utaaribu wa mshindi wa mwezi ukaangaliwa.

Nawasilisha
HABARI OFFICIAL CODE YA JAMIIFORUMS FANTASY LEAGUE NI HII HAPA
​
Tuendelee kujoin currently just for fun , tujitahidi kushare hiyo code .
 
Iundwe
 

Sjaelewa :


gw ??

fpl. ??


100k kwa wiki 38 ni 3.8M wa jumla ni 1M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…