Andrew Sosipeter
Senior Member
- May 29, 2016
- 189
- 33
Hana vigezoHabari wana jukwaa wa la elimu, Je kuna uwezekano wa kusubiri second selection kwa haya matokeo DIV III 25 CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D PHYS D BIOS D B /MATH D.
Mimi naona hakuna combination hapo naomba mwenye ufahamu juu ya sifa za second selection msaada tafadhali maana hata selform hakujaza art itakuwaje comb alizojaza ni PCM, PCB, CBG, PGM, EGM. Je itakuwaje second selection!
vipi kuhusu mwenye HKL (CCC) lakini hakuchagua mwanzo na hajapangwaHabari wana jukwaa wa la elimu, Je kuna uwezekano wa kusubiri second selection kwa haya matokeo DIV III 25 CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D PHYS D BIOS D B /MATH D.
Mimi naona hakuna combination hapo naomba mwenye ufahamu juu ya sifa za second selection msaada tafadhali maana hata selform hakujaza art itakuwaje comb alizojaza ni PCM, PCB, CBG, PGM, EGM. Je itakuwaje second selection!
Thanqs.HKL unaweza kwenda subiri, ingawa mwaka huu waliofaulu ni wengi na wanasubiri hizo post
acha kupotosha umma vigezo vya kuchaguliwa ni wale wenye div 1-3.Huwezi kuchaguliwa shule ya serikali kama huna C 5 ila ynaweza soma shule yyte ya private mana una C 3 hizo ndo sheria za kusoma advance
Asante kwa ushauriacha kupotosha umma vigezo vya kuchaguliwa ni wale wenye div 1-3.
na walau combination moja iwe imebalance