Kuna haja ya kusubiri second selection form five 2016 /2017

Andrew Sosipeter

Senior Member
May 29, 2016
189
33
Habari wana jukwaa wa la elimu, Je kuna uwezekano wa kusubiri second selection kwa haya matokeo DIV III 25 CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D PHYS D BIOS D B /MATH D.

Mimi naona hakuna combination hapo naomba mwenye ufahamu juu ya sifa za second selection msaada tafadhali maana hata selform hakujaza art itakuwaje comb alizojaza ni PCM, PCB, CBG, PGM, EGM. Je itakuwaje second selection!
 
Mii nimeenda baadhi ya shule eti wanasema atafanya mtiani form six kama private candidate sasa sijui kuna ukweli wowote manake tahasusi ni CCD yani kama huyo huyo labda mwenye taarifa zaidi atujulishe!
 
Habari wana jukwaa wa la elimu, Je kuna uwezekano wa kusubiri second selection kwa haya matokeo DIV III 25 CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D PHYS D BIOS D B /MATH D.

Mimi naona hakuna combination hapo naomba mwenye ufahamu juu ya sifa za second selection msaada tafadhali maana hata selform hakujaza art itakuwaje comb alizojaza ni PCM, PCB, CBG, PGM, EGM. Je itakuwaje second selection!
Hana vigezo
 
vipi kuhusu mwenye HKL (CCC) lakini hakuchagua mwanzo na hajapangwa
 
HKL Unapata shule, ila 2nd selection bahati na sibu..kama unataka shule bado hazijajaa anza kutafuta, kuna moja bado nafasi 10...unaweza ni-pm nikupe namba ya mkuu.
 
Huwezi kuchaguliwa shule ya serikali kama huna C 5 ila ynaweza soma shule yyte ya private mana una C 3 hizo ndo sheria za kusoma advance
 
acha kupotosha umma vigezo vya kuchaguliwa ni wale wenye div 1-3.
na walau combination moja iwe imebalance
 
Back
Top Bottom