Kuna faculty ya tourism UDOM?

Ingia kwenye website yao utaweza kuona kila kozi zitoleazo udom.
 
M cna mpango na hvyoo nataka kujua tu kuhusu tourism
Kuna chuo cha utalii karibu na IFM. Ila acha kuwa na mawazo ya kusoma kozi kama hizo. Mwanaume lazima upande milima na mabonde upasue. Akina nyie ndo mnatukana PhD za akina JPM za kemia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…