Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,367
- 2,800
Haya science na tech inazidi kugundua mengi zaidi
Wageukia matibabu maana ndiko wamekosa majibu kabisa
Kwa speed ya mwanga. Kwa speed ya rockets za kisayansi hawezi kufikaKwahiyo Elon akiamua kwenda huko atafika baada ya miaka 20.
Kwa speed ya light 3x10^8m/s which is impossible . Maybe 3025 miaka 1000 kwanzia sasa tunaweza kuwa na vyombo vya ku explore deep space .Haya science na tech inazidi kugundua mengi zaidi
Wageukia matibabu maana ndiko wamekosa majibu kabisa
Hili ni somo muhimu sanaKuna Dunia nyingine mpya imepatikana
Mwezini hata wewe ukitaka unaenda tu ni mwendo wa miezi isiyopungua mitatu mpaka kufika.Hawa jamaa wakati mwingine wanatudanganya tu.
Mbona trip za kuelekea mwezi hapo jirani tu hazifanyiki sembuse kugundua dunia ya umbali mkubwa hivyo!
Hivi Kuna uwezekano dunia ikawa bado ni mahali pa kuishi katika miaka hiyo!?Kwa speed ya light 3x10^8m/s which is impossible . Maybe 3025 miaka 1000 kwanzia sasa tunaweza kuwa na vyombo vya ku explore deep space .