Kuna dem jirani ananitaka

Lover boi

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
316
Reaction score
445
Hii shughuli niliyonayo sio ya kitoto kuna manzi anashilikiana na sister yake ambaye umri wake ni Kati ya 30 - 40. Kibaya zaidi familia yenyewe ni washirikina tena ni moto kitaa wanawaelewa hadi nimeishiwa pozi timu ya watu watatu inashirikiana kuninasa ila wapi wanamda sana na hadi kupata info niliambiwa na mdogo was wa mwisho ilikuwa kama utani dogo kafunguka kuwa wapo kwenye process ili nimuelewe dada yao ambaye ni wa pili. Cha kushukuru dawa zao zinadunda ila bado nahofia maana watu kama hawa wakikuweka ndani ya 18 ni hatari sana.
 
Ujinga bado ni tatizo kubwa sana Tanzania.

Huyu utakuta ni mfuasi wa Mbowe.
Bora huyo mfuasi wa mbowe kuliko yale matahira ya mataga.
Yaliambiwaga na mwenyekt wao fedha za escrow siyo za umma yote yakashanglia na kutetea. Na kuwananga wapnzan.
Akaja mwnyekt wao mpya akasema ni za umma. Mataga yote huree wakamatwe wote waliopewa.
Mataga hayo hayo mwnyekt wao yule alikuwaga wa makamera sn hata akiwa anakula muhindi wa kuchoma anataka aonwe live. Alipewa gawio na atcl na kuonyesha kuna faida ya bil 28 mataga yote huree huku yakiwananga wapnzan.

Mmmh ripot imekuja hakuna cha gawio wala faida ni hasara tu. MAtaga yote yakaanza kudai mbona mashrka yote dunian yamepata hasara mara sjui corona.

Sasa mpk hapo kati ya hao mataga wa ccm matahira na wafuas wa mbowe nani hana akili?
 
aarrggh aibu naona mimi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…