Mkuu kuna aina 3 za vipara kuna kipara cha hela ,kipara cha uchawi ,na kipara cha elimu hapo jiulize
::dawa sasa tafuta
1 mafuta ya nyonyo
2 vitunguu maji
Unaanza kusugua mahala husika na kitunguu maji kilichokatwa baada ya muda unapakaa hayo mafuta ya nyonyo hapo nywele zako zitardi tu baada ya muda
Sent from my Infinix PR652B using
JamiiForums mobile app