habari, wakuu moja kwa moja kwenye mada mimi ni kijana wa miaka 25, kwa muda wa miaka miwili hivi nimekuwa na tatizo la kutoka kipara maeneo ya mbele ya kichwa, lilianza kidogo kidg mpaka muda huu inaonekana kabisa nina dalili za kuja kuwa na kipara kikubwa, nywele za mbele ni tofauti na nywele za kati kurud nyuma ambazo zinaota kawaida tu. Kwenu wana Jf kama kweli kuna dawa, Utaalamu, au mafuta ya kuotesha nywele au kuzuia zilizopo zisiondoke? naomba msaada wa wa hizo dawa au mafuta, au mtaalamu Asanteni.
acha punyeto ongeza lishe utakuja kunishukuruhabari, wakuu moja kwa moja kwenye mada mimi ni kijana wa miaka 25, kwa muda wa miaka miwili hivi nimekuwa na tatizo la kutoka kipara maeneo ya mbele ya kichwa, lilianza kidogo kidg mpaka muda huu inaonekana kabisa nina dalili za kuja kuwa na kipara kikubwa, nywele za mbele ni tofauti na nywele za kati kurud nyuma ambazo zinaota kawaida tu. Kwenu wana Jf kama kweli kuna dawa, Utaalamu, au mafuta ya kuotesha nywele au kuzuia zilizopo zisiondoke? naomba msaada wa wa hizo dawa au mafuta, au mtaalamu Asanteni.
Kitaalamu inaitwa Male pattern baldness..Habari wakuu,
Moja kwa moja kwenye mada mimi ni kijana wa miaka 25, kwa muda wa miaka miwili hivi nimekuwa na tatizo la kutoka kipara maeneo ya mbele ya kichwa, lilianza kidogo kidg mpaka muda huu inaonekana kabisa nina dalili za kuja kuwa na kipara kikubwa, nywele za mbele ni tofauti na nywele za kati kurud nyuma ambazo zinaota kawaida tu.
Kwenu wana Jf kama kweli kuna dawa, Utaalamu, au mafuta ya kuotesha nywele au kuzuia zilizopo zisiondoke? naomba msaada wa wa hizo dawa au mafuta, au mtaalamu.
Asanteni.
umepiga panapouma, cha ajabu hato reply hiiacha punyeto ongeza lishe utakuja kunishukuru
kuna uhusiano mkubwa sana wa punyeto na utokaji wa kipara na kama ni kweli uliacha mda mrefu basi zidisha lishe na anza kutumia mafuta og ya almomd oil ya kutengenezanimeuliza kuhusu tiba ipoo??? punyeto zamani nilishaacha , lishe ntaongeza.
amekubali angekataa ningemuona muongo amekuwa mkweli.umepiga panapouma, cha ajabu hato reply hii
tupo wawili wenye vipara kwenye family yet, wengne waliniambia nimerithi maana mzee wangu ana kipara pia.kuna uhusiano mkubwa sana wa punyeto na utokaji wa kipara na kama ni kweli uliacha mda mrefu basi zidisha lishe na anza kutumia mafuta og ya almomd oil ya kutengeneza
1. Punguza hasiraHabari wakuu,