Ninasumbuliwa na KISUKARI cha juu nina mwaka sasa.
Nimekuwa nashindwa kutengeneza hasa chakula ninachotakiwa kula lakini ninajitahidi sasa maana nimekuwa nachoma insulin mara kwa mara.
Je ni kweli kuna dawa mpya ambazo inasemekana zinasaidia sana kushusha sukari?
Naomba msaada wenu
:thinking:

ninasumbuliwa na kisukari cha juu nina mwaka sasa.
Nimekuwa nashindwa kutengeneza hasa chakula ninachotakiwa kula lakini ninajitahidi sasa maana nimekuwa nachoma insulin mara kwa mara.
je ni kweli kuna dawa mpya ambazo inasemekana zinasaidia sana kushusha sukari?
Naomba msaada wenu
:thinking:
Mi nilidhani ni UKIMWI tu ndo hautibiki,kumbe hata kisukari hakitibiki!!!, hivyo utaendelea kuchomwa insulini kwa miaka yote iliyobaki???. ''Mwili wa binadamu unapopungukiwa maji,hutoa ishara (indicators), tumeziita ishara hizo kuwa ni MAGONJWA!!!, hauumwi, una KIU, usiitibu kiu kwa madawa - dr.Batmanghelidj''.Ninasumbuliwa na KISUKARI cha juu nina mwaka sasa.
Nimekuwa nashindwa kutengeneza hasa chakula ninachotakiwa kula lakini ninajitahidi sasa maana nimekuwa nachoma insulin mara kwa mara.
Je ni kweli kuna dawa mpya ambazo inasemekana zinasaidia sana kushusha sukari?
Naomba msaada wenu
:thinking:
kikombe kina ujazo gani?Siku hizi watu wengi khususan watu wazima, wanaume na wanawake wanataabika sana kwajili ya ugonjwa wa sukari.
Ingredients:
1 – Unga wa ngano 100 gm
2 – Gundi (umefanan na ubani wa kiarabu lakini hauna harufu) 100 gm
3 - Shaair 100 gm
4 - Habba Soda 100 gm
Namna ya kutengeneza
Chemsha hivyo vitu juu katika vikombe 5 vya maji kwa muda wa dakika 10. Zima moto na wacha ipowe. Ikisha kupowa chuja na utie katika chupa.
Matumizi
Kunywa kikombe kidogo kila siku asubuhi kabla ya kula chochote kwa muda wa siku 7.
Wiki ya pili kunywa siku moja na uwache siku moja.
Insha-Allah baada hizi wiki mbili utapona na utaweza kula chakula kama dasturi. ukisha maliza kutumia nipe Feedback.
chanzo. https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/180570-dawa-ya-ugonjwa-wa-kisukari.html#post2620471
Nifikiriavyo mimi Vikombe 5 vya maji sawasawa na chupa 2 za soda ya Cocacola maji yake itakuwa hicho ndio kipimo chenyewe. Ukisha chemsha chuja hiyo dawa uweke kwenye chupa ya Orange uwe unakunywa kila siku kwenye kipimo cha kikombe cha kunywa kahawa au kikombe kidogo cha chai.kikombe kina ujazo gani?