Habari za usiku ndugu zangu.
Kuna kazi niliomba majibu yametoka kuwa nime kuwa shortlisted ila nijaze fomu flani wamenituma kisha niambatanishe na General Intelligence aptitude (GIA) test certificate. Wamenitumia website mbili.
Pia wamesema naweza fanya kwa accredited invigilator wengine. Nimetafuta nikakuta kuna NGO inaitwa Maxholme ipo Kenya nao wanatoa hiyo test kwa 70$. Nimewasiliana na ndg mmoja anaitwa James D. Munuve akanipatia test hiyo ila sijalipa bado ili wanipatie cheti hicho kesho.
Naomba msaada na ushauri wenu anayefahamu au aliyekutana na mambo kama haya.