Anderson Ndambo
Senior Member
- Jun 3, 2017
- 152
- 207
Kama wapinzani tunashindwa kuona dhamira njema ya Serikali kwa nchi hii, basi sisi tutakuwa Wapinzani UchwaraMkuu wao mshahara wao upo tu..
Kumbuka haya mambo ya bajeti na utekelezaji wake yanaathiri maisha halisi ya mtanzania..zaidi ya vita ya kisiasa ya CCM na wapinzani wake!
Hiyo mipango mizuri hata mwaka jana ilikuwepo tu mkuu wangu, ila katika yoote uliotekelezeka 150% ni wa kununua bombadier peke yake.
Inashabihiana na hicho anachikiwasilisha.Avatar yako mie hoooiiiii!!!!
Hili la kususa vikao vya bunge tumeshalichokaWAZEE WA KUSUSA.NI SAWA ILA WAKIWA NA SERA MBADALA.WASIJE ISHIA KUSUSA NA KWENDA KULEWA HOTELINI AFU NYUMA BAJETI INAPITISHWA
Kama wapinzani tunashindwa kuona dhamira njema ya Serikali kwa nchi hii, basi sisi tutakuwa Wapinzani Uchwara
Unataka niwasilishe kwa lugha gani? Mie siyo wa kispoti spotiUngekuwa mpinzani,lugha yako yakuwakilisha ingekuwa tofauti.Pole sana,bajeti ya upinzani itasomwa
Unataka niwasilishe kwa lugha gani? Mie siyo wa kispoti spoti
Daktari wa Mzee wa fito alikuwa standby pale bungeni, nadhani nawe wamhitaji.Kuna kila dalili ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuchanganyikiwa baada ya Waziri wa Fedha, Philip Mpango kuwasilisha bajeti yake. Mapokeo ya bajeti hiyo ni makubwa na kwa mara ya kwanza magazeti yote hata yale ya kambi yetu yanaunga mkono.
Hadi sasa, hakuna kiongozi yeyote wa kambi ya upinzani aliyetoa maoni yake kupinga bajeti hiyo na wale waliojaribu kuizungumzia ama wanasema Serikali imesikia kilio chetu ama wanasema japo bajeti ni nzuri, ila haitatekelezwa.
Kwa kweli niseme kwa dhati ya moyo kuwa Mipango ya Waziri Mpango imechanganya Kambi Rasmi ya Upinzani. Hotuba yetu imeandaliwa na Halima Mdee ambapo nilipoipitia kwa kweli imejaa malalamiko badala ya uhalisia.
Kwa vile Waziri Kivuli wa Fedha, Halima Mdee yupo Kifungoni, Naibu wake, David Silinde ndiye atakayewasikisha Hotuba hiyo. Hata hivyo, hayupo tayari kuiwasilisha kwa vile haina hoja za maana.
Kwa hali hiyo, wabunge wa Upinzani wamekubaliana kususia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali na watatumia hoja ya kufungiwa akina Halima Mdee na Esther Bulaya kama kisingizio cha kutoshiriki mjadala huo. Kuna uwezekano mkubwa Wabunge wa Upinzani wataingia Bungeni Jumatatu na kutoka nje baada ya kipindi cha maswali na majibu.
hata akikataa kwamaba sio lumumba team lkn ubongo wake utamsuta kimoyomoyoUmeona eh!Nilipoisoma LUGHA yek tu nikajua kutoka Mtaa wa Mfisi pale Lumumba
hii umeionaaa?Umeona eh!Nilipoisoma LUGHA yek tu nikajua kutoka Mtaa wa Mfisi pale Lumumba
watoke kwa amani sio kuleta fujo ili watolewe kwa kubebwa na askari.Kuna kila dalili ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuchanganyikiwa baada ya Waziri wa Fedha, Philip Mpango kuwasilisha bajeti yake. Mapokeo ya bajeti hiyo ni makubwa na kwa mara ya kwanza magazeti yote hata yale ya kambi yetu yanaunga mkono.
Hadi sasa, hakuna kiongozi yeyote wa kambi ya upinzani aliyetoa maoni yake kupinga bajeti hiyo na wale waliojaribu kuizungumzia ama wanasema Serikali imesikia kilio chetu ama wanasema japo bajeti ni nzuri, ila haitatekelezwa.
Kwa kweli niseme kwa dhati ya moyo kuwa Mipango ya Waziri Mpango imechanganya Kambi Rasmi ya Upinzani. Hotuba yetu imeandaliwa na Halima Mdee ambapo nilipoipitia kwa kweli imejaa malalamiko badala ya uhalisia.
Kwa vile Waziri Kivuli wa Fedha, Halima Mdee yupo Kifungoni, Naibu wake, David Silinde ndiye atakayewasikisha Hotuba hiyo. Hata hivyo, hayupo tayari kuiwasilisha kwa vile haina hoja za maana.
Kwa hali hiyo, wabunge wa Upinzani wamekubaliana kususia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali na watatumia hoja ya kufungiwa akina Halima Mdee na Esther Bulaya kama kisingizio cha kutoshiriki mjadala huo. Kuna uwezekano mkubwa Wabunge wa Upinzani wataingia Bungeni Jumatatu na kutoka nje baada ya kipindi cha maswali na majibu.
inamaana wanamkaribisha ZERRO?Umeona eh!Nilipoisoma LUGHA yek tu nikajua kutoka Mtaa wa Mfisi pale Lumumba
Nimeshangaa gazeti la Mwananchi ukurasa wa mbele na kichwa cha habari: Bonge la bajeti.Kuna kila dalili ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuchanganyikiwa baada ya Waziri wa Fedha, Philip Mpango kuwasilisha bajeti yake. Mapokeo ya bajeti hiyo ni makubwa na kwa mara ya kwanza magazeti yote hata yale ya kambi yetu yanaunga mkono.
Hadi sasa, hakuna kiongozi yeyote wa kambi ya upinzani aliyetoa maoni yake kupinga bajeti hiyo na wale waliojaribu kuizungumzia ama wanasema Serikali imesikia kilio chetu ama wanasema japo bajeti ni nzuri, ila haitatekelezwa.
Kwa kweli niseme kwa dhati ya moyo kuwa Mipango ya Waziri Mpango imechanganya Kambi Rasmi ya Upinzani. Hotuba yetu imeandaliwa na Halima Mdee ambapo nilipoipitia kwa kweli imejaa malalamiko badala ya uhalisia.
Kwa vile Waziri Kivuli wa Fedha, Halima Mdee yupo Kifungoni, Naibu wake, David Silinde ndiye atakayewasikisha Hotuba hiyo. Hata hivyo, hayupo tayari kuiwasilisha kwa vile haina hoja za maana.
Kwa hali hiyo, wabunge wa Upinzani wamekubaliana kususia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali na watatumia hoja ya kufungiwa akina Halima Mdee na Esther Bulaya kama kisingizio cha kutoshiriki mjadala huo. Kuna uwezekano mkubwa Wabunge wa Upinzani wataingia Bungeni Jumatatu na kutoka nje baada ya kipindi cha maswali na majibu.
Makamandaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!Wewe ni team Lumumba unakuja na porojo za kujiita eti na wewe ni mpinzani!!!
Shame on you unayejiita kamanda wakati ni kinanda wa ccm