Kuna dalili wapinzani watasusia mjadala wa bajeti ya Serikali Jumatatu, Waziri Mpango kawachanganya

Anderson Ndambo

Senior Member
Jun 3, 2017
152
250
Kuna kila dalili ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuchanganyikiwa baada ya Waziri wa Fedha, Philip Mpango kuwasilisha bajeti yake. Mapokeo ya bajeti hiyo ni makubwa na kwa mara ya kwanza magazeti yote hata yale ya kambi yetu yanaunga mkono.

Hadi sasa, hakuna kiongozi yeyote wa kambi ya upinzani aliyetoa maoni yake kupinga bajeti hiyo na wale waliojaribu kuizungumzia ama wanasema Serikali imesikia kilio chetu ama wanasema japo bajeti ni nzuri, ila haitatekelezwa.

Kwa kweli niseme kwa dhati ya moyo kuwa Mipango ya Waziri Mpango imechanganya Kambi Rasmi ya Upinzani. Hotuba yetu imeandaliwa na Halima Mdee ambapo nilipoipitia kwa kweli imejaa malalamiko badala ya uhalisia.

Kwa vile Waziri Kivuli wa Fedha, Halima Mdee yupo Kifungoni, Naibu wake, David Silinde ndiye atakayewasikisha Hotuba hiyo. Hata hivyo, hayupo tayari kuiwasilisha kwa vile haina hoja za maana.

Kwa hali hiyo, wabunge wa Upinzani wamekubaliana kususia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali na watatumia hoja ya kufungiwa akina Halima Mdee na Esther Bulaya kama kisingizio cha kutoshiriki mjadala huo. Kuna uwezekano mkubwa Wabunge wa Upinzani wataingia Bungeni Jumatatu na kutoka nje baada ya kipindi cha maswali na majibu.
 
spika

JF-Expert Member
Dec 7, 2014
458
500
Mkuu wao mshahara wao upo tu..

Kumbuka haya mambo ya bajeti na utekelezaji wake yanaathiri maisha halisi ya mtanzania..zaidi ya vita ya kisiasa ya CCM na wapinzani wake!

Hiyo mipango mizuri hata mwaka jana ilikuwepo tu mkuu wangu, ila katika yoote uliotekelezeka 150% ni wa kununua bombadier peke yake.
 
Kama wapinzani tunashindwa kuona dhamira njema ya Serikali kwa nchi hii, basi sisi tutakuwa Wapinzani Uchwara
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,681
2,000
WAZEE WA KUSUSA.NI SAWA ILA WAKIWA NA SERA MBADALA.WASIJE ISHIA KUSUSA NA KWENDA KULEWA HOTELINI AFU NYUMA BAJETI INAPITISHWA
 
ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
8,448
2,000
Kuna kila dalili ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuchanganyikiwa baada ya Waziri wa Fedha, Philip Mpango kuwasilisha bajeti yake. Mapokeo ya bajeti hiyo ni makubwa na kwa mara ya kwanza magazeti yote hata yale ya kambi yetu yanaunga mkono.

Hadi sasa, hakuna kiongozi yeyote wa kambi ya upinzani aliyetoa maoni yake kupinga bajeti hiyo na wale waliojaribu kuizungumzia ama wanasema Serikali imesikia kilio chetu ama wanasema japo bajeti ni nzuri, ila haitatekelezwa.

Kwa kweli niseme kwa dhati ya moyo kuwa Mipango ya Waziri Mpango imechanganya Kambi Rasmi ya Upinzani. Hotuba yetu imeandaliwa na Halima Mdee ambapo nilipoipitia kwa kweli imejaa malalamiko badala ya uhalisia.

Kwa vile Waziri Kivuli wa Fedha, Halima Mdee yupo Kifungoni, Naibu wake, David Silinde ndiye atakayewasikisha Hotuba hiyo. Hata hivyo, hayupo tayari kuiwasilisha kwa vile haina hoja za maana.

Kwa hali hiyo, wabunge wa Upinzani wamekubaliana kususia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali na watatumia hoja ya kufungiwa akina Halima Mdee na Esther Bulaya kama kisingizio cha kutoshiriki mjadala huo. Kuna uwezekano mkubwa Wabunge wa Upinzani wataingia Bungeni Jumatatu na kutoka nje baada ya kipindi cha maswali na majibu.
Daktari wa Mzee wa fito alikuwa standby pale bungeni, nadhani nawe wamhitaji.
 
kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,033

watoke kwa amani sio kuleta fujo ili watolewe kwa kubebwa na askari.
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
28,709

Nimeshangaa gazeti la Mwananchi ukurasa wa mbele na kichwa cha habari: Bonge la bajeti.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom