Kuna combination ya Computer A-level?

Kuna combination ya Computer A-level?

Gaspar_sammy

New Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
2
Reaction score
2
Guys naombenii tusaidiane kuhusu info ya somo la computer. Je ni kuna combination yoyote ya masomo ya A-level inayohusisha somo la computer?? Kama ipo ni inapatikana shule zipi nchini Tanzania? Au vituo gani vya kufanyia PC inapatikana ? Naomba msaada wenu...
 
guys naombenii tusaidiane kuusu info ya somo la computer...Je ni kuna combination yeyeto ya masomo ya a-level inayohusisha somo la computer?? kama ipo ni inapatika shule zip nchini tz? or vituo gaan vya kufanyia PC inapatikana ? naomba msaada wenu...
Baadhi ya shule wanafundisha somo la computer kama option na sio somo la kombi!! kwa kifupi tanzania hamna kombi yenye somo la computer!!
 
Mkuu hebu fafanua, Kama ni option na sio kombi,je ufaulu wake unahesabika kwenye kuomba chuo kikuu. Na je unaweza ku drop somo moja la kombi uka replace na Computer studies kwa mfano badala ya PCM ukafanya PCsM? Ukadrop chemistry ambayo haihitajiki huko chuo.
 
Haiwezekani kuiacha chemistry computer ni somo la ziada
 
Mkuu hebu fafanua, Kama ni option na sio kombi,je ufaulu wake unahesabika kwenye kuomba chuo kikuu. Na je unaweza ku drop somo moja la kombi uka replace na Computer studies kwa mfano badala ya PCM ukafanya PCsM? Ukadrop chemistry ambayo haihitajiki huko chuo.
Wao wana treat computer kama divinity yaani somo la ziada... Huwezi acha kemia usome komputer... Kemia ni compulsory kwenye kombi na komputer ni option...
 
Back
Top Bottom