poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
Mkuu Naomba code za cont.nental...
digitek 490 Mhz
zmuk 514 Mhz
Ting 530 Mhz
...
Mkuu Naomba code za cont.nental
Niwekee Hata pm
Natumia dish mkuu...
Continental 474 Mhz
...
...Natumia dish mkuu
Nikiweka code Hizo napata free?
Natumia dish ndgu naomba kodiHabari wadau!
Kitambo tulipoteana baada ya mtandao wetu pendwa kutokuwepo hewani lakini sasa upo hewani
wakushukuriwa ni mungu kwa kurejea tena kama awali.
Ndugu zangu naomba msaada wa kupata Code za kuingiza katika king'amuzi cha startimes kupata local Channel. Mwanzo nilikuwa napata kwa kutumia Code za 546 na 474 napata Channel za hapa nyumbani.
Kwa sasa napata Chaneli moja tu ya TBC1
Lakini kwa sasa sipati. Je kuna code mpya? Mwenye kuweza kunisaidi tafadhali anisaidie. Natumia king'amuzi cha Antena. Nipo Dar.
Hizo Sio code ni Directioncode ni zipi mkuu?
wakuu naombeni msada wenu king'amuz changu kinasumbua Nikiasha kina katakata hovyo yani nakosa raha kabisa Em nielekezeni tatzo laweza kuwa nini? natumia startimes. msaada wenu wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app