Kuna binadamu wengine wanataka iphone mpya lakini kuna wengine wanataka chakula

Dah tumshukuru Mungu kwa anayotujalia na tupewe mioyo ya kutoa na kusaidia wanaohitajia
 
Aduwi yako muombee njaa tu ndio silaha kubwa hiyo bibie.













daa so sad,Mungu tuhurumie na uwahurumie zaidi wenzetu hawa hakika tunapaswa kuwaza zaidi namna ya kuwasaidia watu hawa.
 
na kiongozi wao wa taifa anawaza kupata ka-mchuma ka angalau 800 million!God may not be fair or he cant do more than what he can.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…