Blender huwa inatisha sana ukiwa mgeni nayo ila ukishaipata workflow yake inakuwa ni rahisi kiasi chake...
Ngoja nikuwekee uzi niliouanzisha humu humu ambapo nilikuwa naweka picha na videos nilizotengeneza kwa kutumia hiyo blender
[emoji116][emoji116][emoji116]
Habarini wakuu Nimeamua kuanzisha huu uzi maalumu kwa kuweka picha zilizotengenezwa kwa mifumo ya kompyuta. huu utakuwa ni uzi wa kuweka picha tulizozitengeneza sisi wenyewe na si picha za ku download au kuweka picha kutoka kwa mtu mwingine. Huu uzi ni wa kujumuisha watu wote: wanaozalisha...