Kuna aliyeonja keki ya taifa? Mimi bado

bei poa ya umeme, umeme umekuwa gharama nafuu karibu kila mtu anaumdu
 
Tunatofautiana na kila mtu anaijua Keki ya taifa ipi, mimi najua keki ya Taifa ni Shilole na sijaimega bado.
 
Mi na subiri uchaguzi serikali za mitaa. Mwaka wa uchaguzi uliopita tuliunda timu ya mpira m/kiti na mbunge walikuwa wapole sasa sasa hivi tunapishana kama daladala za mwendo kasi, na wasubiri kwa hamu sana ni mege keki yangu
 
Ina maana hata kuswekwa ndani hujawahi?

Maana wale Watumishi na Jengo lile hugharamiwa na hazina/mfuko mkuu.
 
Mimi nilidoj sana chuo,ela ya boom na field nilikua nafungulia miradi.Nadaiwa mil 10,kwa kweli mimi nimeshachukua changu tayari na sasa nipo mbali.Siidai serikali wala yenyewe hainidai sababu hajira hakuna cha kuwalipa sina.
 
Elimu bure
Amani

Hizo zote ni baadhi ya cake ya taifa, au ulitaka uajiriwe ikulu?
 
Subiria zama za Giza zipite utaonja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…