KabisaBaadhi ya wanandoa huingia katika mahusiano na ndoa kama vile anajaribisha! Yaani mguu mmoja ndani mwingine nje! Unakuta mlishaanza kuzaa na watoto mwenzako bado anamuwazaga Ex-wake walieachana naye miaka flani kabla hamjakutana , hapo misuguano huanza na kupelekea kumwagana! Wapo pia wanawake wengine ambao huwa wanajipretend kama kwamba ni watulivu na wenye adabu sana wakatit wa mahusiano, lakini akishaingia kwenye ndoa baada ya muda mfupi anabadilika na kuanza kuonyesha rangi yake halisi , hapa ndipo shida huanza na hatimaye mnavunja ndoa!
Wadau nimeona mahusiano mengi/ndoa nyingi husambaratika kuvunjika mara baada tu ya kupata watoto wawili au zaidi??! Na Mara nyingi wazazi wa upande wa kikeni hung'ang'ania watoto ambapo ki uhalisia hawana uwezo wa kuwalea na kuwapatia mahitaji muhimu! Nini chanzo? Viburi vya wenzi wetu au! Nb: Mimi ni me!
Ukiona hivyo kuna vitu mwanzo ulimfanyia, kujali, kumsifia, kumtaniatania, busu kwa wingi, kumpapasa for no reason sasa yakikata huwa yanatafutwa kwa nguvu ambayo wanaume wengi huwa hawaielewi.Dem anaongea ka charahani! Mwanzo alikua mpole!!
Yaani umeniwakilisha vyemaBaadhi ya wanandoa huingia katika mahusiano na ndoa kama vile anajaribisha! Yaani mguu mmoja ndani mwingine nje! Unakuta mlishaanza kuzaa na watoto mwenzako bado anamuwazaga Ex-wake walieachana naye miaka flani kabla hamjakutana , hapo misuguano huanza na kupelekea kumwagana! Wapo pia wanawake wengine ambao huwa wanajipretend kama kwamba ni watulivu na wenye adabu sana wakatit wa mahusiano, lakini akishaingia kwenye ndoa baada ya muda mfupi anabadilika na kuanza kuonyesha rangi yake halisi , hapa ndipo shida huanza na hatimaye mnavunja ndoa!
mimi mwenyewe katika hili sielewi chief, uwezo hawana ila bado wanang'ang'ania!!!!!Na Mara nyingi wazazi wa upande wa kikeni hung'ang'ania watoto ambapo ki uhalisia hawana uwezo wa kuwalea na kuwapatia mahitaji muhimu! Nini chanzo? Viburi vya wenzi wetu au! Nb: Mimi ni me!
Huu ni utafiti umefanya au unatuelezea kilichokutokea wewe?Wadau nimeona mahusiano mengi/ndoa nyingi husambaratika kuvunjika mara baada tu ya kupata watoto wawili au zaidi??! Na Mara nyingi wazazi wa upande wa kikeni hung'ang'ania watoto ambapo ki uhalisia hawana uwezo wa kuwalea na kuwapatia mahitaji muhimu! Nini chanzo? Viburi vya wenzi wetu au! Nb: Mimi ni me!