Wana ndugu ..Hivi sis wananchi tunamchague Mbunge kwenda Bungeni kutuwakilisha sis wananchi ktk jimbo lake au Kumuunga Mkono Raisi kwa niaba ya wananchi kutoka jimbo lake??? Maaana mi sielewi kabsaaa hapaaa

Ndugu yangu inabidi uelewe ndio maana Jana watu wa kuhudhuria mkutano wa kampeni za CCM pale Biafra tulisombwa kutoka gongo la mboto, tabata na mbagala buree kabisa..
Nadhani hapo unapata picha ndg..
Kama wewe ni mdogo kwa umri sema nitumie lugha rahisi zaidi labda utanielewa