Acha kumdekeza mwanao,
Wewe kama unamdekeza, akija shule na viatu visivyopaswa, sisi kama walimu hatuna budi kumshushia kipigo.
Yote hayo utajua wewe!Unamchapa mtoto ili kumrekebisha au kumaliza hasira zako ??
Wadau naombeni ushauri,binti darasa la tatu kaenda shuleni na viatu ambavyo mwalimu anadai havitakiwi shuleni,mwalimu amemchapa sana tuu kwa.sababu hiyo, hivi hili kosa mtoto alistahili adhabu hii?shule wana.diary ambayo walimu wanafanya mawasiliano yote na wazazi kupitia humo,halijafanyika zaidi ya kumshushia kibano,hii ni sawa?!?!
Chukua mtoto wako ukae nae nyumbani na umfundishe mwenyewe
Hawezi kusahau kumuambuia mzazi wakeWaalimu bwana!
Sasa ukimchapa mtoto ndo anaenunua hivyo viatu?!
Hawezi kusahau kumuambuia mzazi wake
Sawa mzazi nae aplay part yake kwa kuhakikisha mtoto anafika shuleInategem na mtoto kuna mtoto mwingine kwa kumchapa anakuwa mwoga
Atatoka nyumbani vizuri akifika njian anatafuta pa kujificha haendi shule.
Lakini kila sehemu ina utaratibu wakeKuchapana ni ushamba. Kwani viatu tofauti vikivaliwa mtoto haelewi akifundishwa?
Ndio maana nasema mwalimu wa kumchapa mwanangu nitalala naye mbele
Sawa mzazi nae aplay part yake kwa kuhakikisha mtoto anafika shule
Kama ni mzazi makini atafahamu kama mtoto wake afiki shule
Kweli kabisa. Mitoto ya sasa imedekezwa sana na ndiyo maana kitu kidogo tu inakimbia shule. Na kwakuwa siasa imetawala hadi majumbani na mzazi anakuja juu.Acha kumdekeza mwanao,
Wewe kama unamdekeza, akija shule na viatu visivyopaswa, sisi kama walimu hatuna budi kumshushia kipigo.
Fanya utafiti kwanza unaweza kulaumu upande mmoja kumbe makosa yako upande mwingine.hivi vitoto ni kiburi Sana sijui Ni kutokana na malezi watokako au lah.huenda mwalim alikua na lengo la kutoa adhabu ndogo Sana ila ukaidi wa mwanafunzi ukapelekea mwl kugafilika.pia huenda mwl alimkanya Zaid ya Mara 2 kuhusu viatu hivyo na mwanafunzi akakaidi.mwisho je kanuni za shule zinasemaje juu ya sare hasa viatu kwa wanafunzi??? Kuna muda wazazi wenyewe pia makosa wanafanya ila kwa kutokujua zigo la lawama litamdondokea huyo mwl.Wadau naombeni ushauri,binti darasa la tatu kaenda shuleni na viatu ambavyo mwalimu anadai havitakiwi shuleni,mwalimu amemchapa sana tuu kwa.sababu hiyo, hivi hili kosa mtoto alistahili adhabu hii?shule wana.diary ambayo walimu wanafanya mawasiliano yote na wazazi kupitia humo,halijafanyika zaidi ya kumshushia kibano,hii ni sawa?!?!
Mahusiano yakiwa mazuri kati ya walimu na wazazi hili linawezekana.Kuna watu professionals zao zinawashinda
Kuna sababu za msingi za kumchapa mwanafunz
Kuna sababu za kuzungumza na mwanafunz
Na kuna sababu za kumpa adhabu mwanafunzi..
Waalimu wengi wanashindwa na hizo mbili za mwisho wamekimbilia hiyo ya kwanza.
Usipambane na matokeo ,pambana na chanzo.
Atakumbuka kumkumbusha Mzazi/ mlezi wake, mana wazazi / walezi wengine hawakumbuki hadi mtoto achapwe shule, arudi nyumbani huku analia.Waalimu bwana!
Sasa ukimchapa mtoto ndo anaenunua hivyo viatu?!