Kumridhisha mpenzi wako

Unga wa Kitarasa

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
398
99
yaaap habari pipoz ebana me na ishu moko hivi inanizingua knoma ni huyu mpenzi wangu kila ninapo duuu naye huwa hata hapigi zile kelele lyk aaaa eeee iii oooo uuuu so afta gemu kuisha nikimuuliza amelizika anajibu ndiyo but me huwa naona ka huwa ananidanganya coz mpaka sasa sijui kugundua kama demu amelidhika au hajalidhika...ni hayo embu nisaidieni njia za kugundua kama mtt ameridhika...:yell:
 
Kwani yeye kichaa apige kelele bila sababu?
Kama hamna cha kumpigisha kelele afanyeje?
 
yaaap habari pipoz ebana me na ishu moko hivi inanizingua knoma ni huyu mpenzi wangu kila ninapo duuu naye huwa hata hapigi zile kelele lyk aaaa eeee iii oooo uuuu so afta gemu kuisha nikimuuliza amelizika anajibu ndiyo but me huwa naona ka huwa ananidanganya coz mpaka sasa sijui kugundua kama demu amelidhika au hajalidhika...ni hayo embu nisaidieni njia za kugundua kama mtt ameridhika...:yell:

mmmh! we dogo wewe! bado kidogo utaibiwa nakwambia. Kwani wewe mtu akikuchekesha mara zote unacheke kwa kutoa sauti. Ila kuna siku kweli jamaa anakuchekesha unabachuka kwa sauti kubwa, basi ujue hapo umefurahishwa. Sasa wewe unataka apige kelele wakati hujampandisha mzuka? haiwezekani bana! anaweza kuridhika ila hajamfikisha anapostahili kupiga kelele, na nakueleza mwanamke akifika kileleni bana, lazima atoa sauti ( japokua zinatofautiana, wengine wanapiga mayowe, wengine kama ulivyosema, wengine wachozi, etc). sasa wewe kama unamuuliza halafu anakujibu kwa kutikisa kichwa ujue anakuonea aibu tu, siku wapigaji wakimkamata umetemwa dogo. Mtayarishe (angalau kwa dk 30) kabla ya kurukia mchezo ile umsogeze angalau afike kileleni na utasikia sauti. Najua unaelewa jinsi ya kumtayarisha, sio jongoo wako akidisa tu we umeshakimbilia mchezoni
 
Ataliaje na wewe huna kitu cha kumfanya alie? Kwanza huyu demu atakuwa mstaarabu sana. Otherwise angeweza kukulia hela yako kwa kujifanya analia...unaniumiza...hooo! huuuu!.wakati hakuna kitu kitu toka kwako..Inabidi umsifu sana. Halafu hataki kukuudhi ndo maana anasema karidhika. Tafuta waganga waongeze saizi, vinginevyo umekwisha maana huyo demu akijakutana na watu kama sisi, hakika hatarudi kwako.
 
mi nakushauri uctafute waganga. ni hv, piga menu rich in protein. then zamaga chumvini jombaa.!
 
yaaap habari pipoz ebana me na ishu moko hivi inanizingua knoma ni huyu mpenzi wangu kila ninapo duuu naye huwa hata hapigi zile kelele lyk aaaa eeee iii oooo uuuu so afta gemu kuisha nikimuuliza amelizika anajibu ndiyo but me huwa naona ka huwa ananidanganya coz mpaka sasa sijui kugundua kama demu amelidhika au hajalidhika...ni hayo embu nisaidieni njia za kugundua kama mtt ameridhika...:yell:

Hawa ndo wale waliobahatika kupata laptop ukubwani kwa hiyo anatumia fursa ya media freedom ili aone Kama atajibiwa. Pole sana, ila ukitaka kujua namna ya kumfurahisha mwenzako, nenda jandoni.
 
mmmh! we dogo wewe! bado kidogo utaibiwa nakwambia. Kwani wewe mtu akikuchekesha mara zote unacheke kwa kutoa sauti. Ila kuna siku kweli jamaa anakuchekesha unabachuka kwa sauti kubwa, basi ujue hapo umefurahishwa. Sasa wewe unataka apige kelele wakati hujampandisha mzuka? haiwezekani bana! anaweza kuridhika ila hajamfikisha anapostahili kupiga kelele, na nakueleza mwanamke akifika kileleni bana, lazima atoa sauti ( japokua zinatofautiana, wengine wanapiga mayowe, wengine kama ulivyosema, wengine wachozi, etc). sasa wewe kama unamuuliza halafu anakujibu kwa kutikisa kichwa ujue anakuonea aibu tu, siku wapigaji wakimkamata umetemwa dogo. Mtayarishe (angalau kwa dk 30) kabla ya kurukia mchezo ile umsogeze angalau afike kileleni na utasikia sauti. Najua unaelewa jinsi ya kumtayarisha, sio jongoo wako akidisa tu we umeshakimbilia mchezoni
umetishaje trustme eebana eeeh em chukua tano kwanza
 
Hawa ndo wale waliobahatika kupata laptop ukubwani kwa hiyo anatumia fursa ya media freedom ili aone Kama atajibiwa. Pole sana, ila ukitaka kujua namna ya kumfurahisha mwenzako, nenda jandoni.
tehe tehe tehe umejuaje daaaah aiseee we ni mkare vp una undugu na yule jamaa aliyekufa ninj
 
Hawa ndo wale waliobahatika kupata laptop ukubwani kwa hiyo anatumia fursa ya media freedom ili aone Kama atajibiwa. Pole sana, ila ukitaka kujua namna ya kumfurahisha mwenzako, nenda jandoni.

kujua laptop ukubwana kuna husiana vp na hii maada..'jipange bro
 
kukaa kimya si kwamna hafurahi, watu wanatofautiana sana!! wengine huwa wanausikilizia utamu wakiwa kimya!!! kuna vingi vya kutazama kuona kuwa mwenzio anasjisikiaje muwapo faragha, kuna baadhi ya makabira unakuta hata ukukuruke vipi mtu yupo kimya tu, sana sana ataguna kidogo, ila si kwamba hafurahi... huwa najiuliza wakati mwingine ni mila au nn? jaribu kuchunguza haya ukiwa kwenye mtanange:

1.macho, huwa yanaongea mengi sana...je yapo sawa na mkiwa katika mazungumzo ya kawaida? au kuna mabadiliko fulani, unayaona? kwa hakika kama kuna mabadiliko basi ujue lipo jambo

2. mabadiliko ya sura, unaweza kusema kuwa mwenzio anaumia au anafurahia kupitia jinsi anavyoonekana kupitia sura yake..

Si makelele yote yanamanisha mtu anafurahi, inawezekana anaumia pia.... njia nyingine rahisi kaa nae muulize kama anafurahi, muulize wapi ukimgusa au kumbusu anafurahi...wengi tunafanya makosa kwa kufikiri wenyewe na si kuuliza kwa wenzetu, wakati mwingine unaweza kuwa unamfanyia jambo mwenzio kumbe hapendi ila nae anaogopa kusema... kama unampenda sema nae usione soo... utatibu mengi sana kwenye mahusiano yako kwa njia ya mazungumzo ya wazi.
 
Back
Top Bottom