Nikadhani mimi tu ndio mwenye kichwa cha panzi, kumbe tupo wengi...He he he!.Sijaelewa hata kidogo.
Atakayeelewa anielekeze we Arushaone umeelewa mpaka umejibu hata hujui???
Nikadhani mimi tu ndio mwenye kichwa cha panzi, kumbe tupo wengi...He he he!.
mie sasa nimemuelewa.
Dem kamuambia kuwa wakeshe.kidume kikajipinda na kwenda na kidemu chake club.
Kufika kule kuna mdau ana mapene akamwambia jamaa naomba namba ya huyo dem uliyekuja nae.
Jamaa akasema ye hana.
Pedeshee akamuomba mdada namba yake ya simu mdada hana hiyana akatoa.
Wakaanza kuchat usiku huo club.(Kumbuka mda huo mjamaa yupo hapohapo anashuhudia tu loo).
Bwana eee nimeshschoka kutafsiri mie...endelea mwenyewe na kichwa chako cha panzi utaelewa