Ila zuchu mnamuoverate Sana .alafu Bahati mbaya mie hata wimbo mmoja sijaupenda..anaimba kimahadhi ya mwambao wa pwani saana ..zuchu hamfikii
Ruby,vanessa,Mimi Mars etc .kifupi anaimba flat saaana!
Anywys kila la heri kwake
Tatizo ni bei?
Yaani nitoe Hela yngu nikawape hao
Siwezi bora nijipigie mtungi wangu tu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Si nimeona kwamba bei yake ni 20M!
Which is likely kwamba kiingilio chake kitakuwa juu. Mleta thread na team yake wanashauri bei ipungue.
Nikataka kujua kuhusu wewe na mimi, tutaenda kama bei itashushwa, au hatutaenda kabisa iwe kwa bei au kwa bure?
Najua unajua nachukia parties/sherehe
Hizo shows naziconsider kama parties...hata kwa bure siendi
Dah yaani huu uchawi ina maana uligoma kufanya kazi kwa lavalava na queen Darleen 🤔🤔🤔🏃🏃🏃🏃
Dah yaani huu uchawi ina maana uligoma kufanya kazi kwa lavalava na queen Darleen 🤔🤔🤔🏃🏃🏃🏃
Hilo nalijua.
Nisaidie kumuuliza Ruttashobolwa, kwamba anataka iwe shilingi ngapi ambapo anaweza kwenda kwenye show?
And then, how is your weekend?
Ameshaimba wimbo wa ccm?duh...hatari Sana....ukitaka mambo yako yanyooke Lazima uimbe tenzi...Mimi napenda ule wa ccm uko kama rege hivi hasa nikiwa napata mmea uliobarikiwa napata furaha
umeuliza swali gumu mno ambalo mpaka sasa hujajibiwa???Hivi zuchu ana hit song ?
Tuanzie hapo kwanza.
Ruttashobolwa ,eti Don Clericuzio anauliza unataka kupunguziwa hadi bei gani ili upate kwenda kwenye show ya Zuchu?
Weekend iko salama,yule naniliu anakusalimia
Ni kweli wamempaisha kimtindo,lakinii kuna baadhi ya nyimbo zake ni nzuri,kama hii kajitahidi
Yaani kweli..show Kama yake nnaenda kunywa tu..mnalewaaaa😆😆🤸Yaani nitoe Hela yngu nikawape hao
Siwezi bora nijipigie mtungi wangu tu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Ooh,hata mie mara nyingi napenda nyimbo za amsha amsha lakini hii kidogo imenivutiaDah nimeusikia leo jioni.anyws kila mtu anapenda taste Yake...! Mie hajanibariki kbs ..nadhan Kwasababu napenda kudance
ntaiskiza Tena asbh....! Nyimbo za amsha amsha ndo mwake..mwe Kuna magoma unaskiliza Kama uko kwenye matanga!Ooh,hata mie mara nyingi napenda nyimbo za amsha amsha lakini hii kidogo imenivutia