Kumpata Zuchu kwaajili ya Show ni Tsh Million ishirini kwa show moja! Je show zake zina thamani hii?

Ukisikia janamke lenye roho ya korosho kwa wanawake wenzake, ndio wewe sasa!

Its obvious Zuchu ana umri mdogo kuliko wewe, amekupiga gape karibu kila kitu... Fame! Life insurance! Money (ongoing event).

Acha roho ya kinafiki wewe mama maskini. Ukiona unachukia maendeleo ya mwenzako wewe ni masikini kuliko yeye.

Basi unajikuta na wewe mpambanaji na umefanikiwa kuliko huyo wangari, na utakuta na wewe ni mwanaume!
 
Hahahahh mkuu hata matukio ya ndugu huendi kabisa?mie kuna baadhi ya matukio ya watu wa karibu lazima niende hata kama sipendi.....usipoenda unawaambiaje?

Kwenda kwenye misiba ni jambo la msingi nafikiri
Haya mambo yamenipita kushoto, akili yangu hua inayatafsiri kama ujinga ikitokea ulazima haswa wa kwenda sinabudi ila sikai, nusu saa jingi sipo, nikijua wazee watakuwepo ndio kabisaa siendi
 
Haya mambo yamenipita kushoto, akili yangu hua inayatafsiri kama ujinga ikitokea ulazima haswa wa kwenda sinabudi ila sikai, nusu saa jingi sipo, nikijua wazee watakuwepo ndio kabisaa siendi
Loh!poleeee
 
Haya mambo yamenipita kushoto, akili yangu hua inayatafsiri kama ujinga ikitokea ulazima haswa wa kwenda sinabudi ila sikai, nusu saa jingi sipo, nikijua wazee watakuwepo ndio kabisaa siendi

Umasikini Umasikini Umasikini
 
Wasalaam!

Wana jamvi habari njema ni kwamba sanaa yetu imezidi kuchanja mbunga na kwa sasa muziki unalipa sana tena sana pamoja na kuwepo kwa madalali qengi!

Zuchu ni msanii mpya ndani ya WCB lakini ukuwaji wake umekuwa wa kasi sana ukilinganisha na wasanii wenzie wakina Lava Lava na Queen Doreen ambao kwangu mimi naona wamekuwa kama wafanyakazi hewa!

Hivi karibuni baada ya kufanya show yake kubwa pale Mlimanicity meneja wake Salam ametangaza bei ambayo atakuwa anatozwa mtu au kampuni au watu wanao mtaka Zuchu a.k. Chuchu kwenye show kiasi cha Tsh Million 20 za kitanzania!

Hivyo ni kwa sasa ukimtaka Zuchu itakubidi utoe Million 20!

Lakini sisi tunashauri Zuchu aendelee kuboresha ubora wa show zake ili azidi kuwakonga mashabiki wasione wanaibiwa hela zao!uView attachment 1524100

Nenda zoomtanzania.com kuna watu was wanauza Corolla 110 kwa 12m, issue ni Je itanunuliwa? Kutangaza bei yako ni uamuzi, issue ni competency!
 
Milioni 20 ,km $ 9,000/= duh
Hapo bado gharama za kumlaza five star hotel , luxury car , drinks

Na hy $ 9,000/= pamoja na wachezaji shoo au yy na DJ tu ?
 
Hivi zuchu ana hit song ?

Tuanzie hapo kwanza.
Ila zuchu mnamuoverate Sana .alafu Bahati mbaya mie hata wimbo mmoja sijaupenda..anaimba kimahadhi ya mwambao wa pwani saana ..zuchu hamfikii
Ruby,vanessa,Mimi Mars etc .kifupi anaimba flat saaana!
Anywys kila la heri kwake
Hahahaha, dah kumbe wengine tu hatumjui ,na hivi mm na muziki tofauti

Nina mkataba wao mmoja hiyo bei ambayo walitaka ili waje Lubumbashi ,mmmmh
 
Ukisikia janamke lenye roho ya korosho kwa wanawake wenzake, ndio wewe sasa!

Its obvious Zuchu ana umri mdogo kuliko wewe, amekupiga gape karibu kila kitu... Fame! Life insurance! Money (ongoing event).

Acha roho ya kinafiki wewe mama maskini. Ukiona unachukia maendeleo ya mwenzako wewe ni masikini kuliko yeye.
Wabongo bana mtu akiwa kinyume na mtazamo wako mnasema ana roho mbaya.

Ndio maana CCM itawatawala miaka milion kwa akili Kama yako. Hata yesu au mtume Mohammed hawakuwahi kukubaliwa na watu wote sembuse Huyo takataka zuchu.

Sasa Huyo zuchu ana maisha gani mpaka utokwe na povu. Nyie ndio mko mikoani mnadanganywa na hizo drama za kwenye mitandao eti ana maisha mazuri Hadi unajitoa ufahamu.

Sisi tunaowafahamu hao unaowahusudu tukiwawekea maisha ya Rayvany hutakaa uamini. Au tukikuwekea maisha ya lavalava hutakaa uamini. Hawana hayo maisha unayofikiria Hadi utokwe povu.

Dada Yake queen Darleen tunaishi nae hapa sinza Yuko kawaida tu tofauti na unavyomuona huko Instagram.
 
Kwenye hiyo milion 20 Mgawanyo uko hivi

1. WCB Management ina mgao wake

2. Manager Wake ana mgao wake

3. Aliemuungia WCB ana mgao wake kwa kila show ( Kama ilivyo kwa Rayvany Kuna mgao wa Babu tale ndio alimuungia wcb kutokea tiptop connection.... Au kwa Mboso Kuna mgao wa Said fella maana ndio alimuungia WCB kutokea Yamoto Band)... Kwasasa sijajua Nani alimuungia zuchu WCB )

4. Kuna gharama za show ( Mavazi, usafiri , chakula na gharama za team nzima , hotel n.k)

6. Bado hujaweka gharama zingine Kama income tax ya serikali n.k

KINACHOBAKI NDIO ANAPEWA MSANII. HAPO wcb rich mavoko amewahi kupewa laki 8 baada ya kupiga show Mombasa.

Sasa Nyie mlioko Manzese au mikoani huko kazi kusifia hamjui lolote tunawaangalia tunaishia kusema iiiiiiiiiiiiiii Bhagooooosha
 
Hahahaha, dah kumbe wengine tu hatumjui ,na hivi mm na muziki tofauti

Nina mkataba wao mmoja hiyo bei ambayo walitaka ili waje Lubumbashi ,mmmmh
Waache upumbavu

Nandy weekend hii Yuko Babati kwa maandalizi ya show jumla milion 5.

Hao wcb achana nao drama tu. Hapa bongo Hakuna mtu anaweza kutoa milion 20 kwa zuchu. Tuko kwenye hii industry kitambo.

Nandy Sasa hivi anaandaa show mwenyewe hataki Tena huchukuliwa na mapromota maana Bei walizojiwekea zikiwachachisha.

Leo Yuko Babati show nzima ameiandaa kwa milion 5 , jumla anaweza kupiga gross revenue Kama milion 12 hivi.
 
Kwenye hiyo milion 20 Mgawanyo uko hivi

1. WCB Management ina mgao wake

2. Manager Wake ana mgao wake

3. Aliemuungia WCB ana mgao wake kwa kila show ( Kama ilivyo kwa Lavalava Kuna mgao wa Babu tale ndio alimuungia wcb kutokea tiptop connection.... Au kwa Mboso Kuna mgao wa Said fella maana ndio alimuungia WCB kutokea Yamoto Band)... Kwasasa sijajua Nani alimuungia zuchu WCB )

4. Kuna gharama za show ( Mavazi, usafiri , chakula na gharama za team nzima , hotel n.k)

6. Bado hujaweka gharama zingine Kama income tax ya serikali n.k

KINACHOBAKI NDIO ANAPEWA MSANII. HAPO wcb rich mavoko amewahi kupewa laki 8 baada ya kupiga show Mombasa.

Sasa Nyie mlioko Manzese au mikoani huko kazi kusifia hamjui lolote tunawaangalia tunaishia kusema iiiiiiiiiiiiiii Bhagooooosha
Hahahaha
 
Back
Top Bottom