Kumpata Zuchu kwaajili ya Show ni Tsh Million ishirini kwa show moja! Je show zake zina thamani hii?

Ila zuchu mnamuoverate Sana .alafu Bahati mbaya mie hata wimbo mmoja sijaupenda..anaimba kimahadhi ya mwambao wa pwani saana ..zuchu hamfikii
Ruby,vanessa,Mimi Mars etc .kifupi anaimba flat saaana!
Anywys kila la heri kwake

Mimi napenda ule wa ccm uko kama rege hivi hasa nikiwa napata mmea uliobarikiwa napata furaha
 
Tatizo ni bei?

Si nimeona kwamba bei yake ni 20M!

Which is likely kwamba kiingilio chake kitakuwa juu. Mleta thread na team yake wanashauri bei ipungue.

Nikataka kujua kuhusu wewe na mimi, tutaenda kama bei itashushwa, au hatutaenda kabisa iwe kwa bei au kwa bure?
 
Najua unajua nachukia parties/sherehe

Hizo shows naziconsider kama parties...hata kwa bure siendi
 
Pale anaposema wapinzani na watetereke sana mimi nabadilisha nasema maccm nayatetereke sana,
 
Ni kweli wamempaisha kimtindo,lakinii kuna baadhi ya nyimbo zake ni nzuri,kama hii kajitahidi

Dah nimeusikia leo jioni.anyws kila mtu anapenda taste Yake...! Mie hajanibariki kbs ..nadhan Kwasababu napenda kudance
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom