Kumkumbuka Mary Shoo

lubazi

Senior Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
135
Reaction score
30
Huyu mama alikuwa mmiliki wa majumba kadhaa maeneo ya masaki, mikocheni na mbezi jijini daressalam hata uingereza alikuwa na majumba, aliendesha biashara zake kwa mafanikio makubwa.
Alianza na biashara ya kuuza kuku na kutengeneza tambi mwanzoni mwa miaka ya 80 kabla ya kujikita na kununua viwanja na kujenga majumba na kisha kuyapangisha
kama wiki mbili zilizopita alivamiwa na wezi nyumbani kwake masaki inasemekana wezi walimpiga pamoja na mlinzi wake wakachukua kama kiasi cha zaidi ya bilioni 1 alifariki baada ya siku 5 kutokana na majeraha aliyopata katika hospitali ya navy masaki
siku moja kabla ya tukio alikuwa ametoka kuuza nyumba yake mojawapo anayomiliki kwa makadirio ya sh 800 milioni na kwenda na ela za mauzo hayo nyumbani kwake
marehemu ameacha mtoto mmoja anayeitwa pamela ambaye alimsomesha kwenye vyuo bora kabisa uingereza na kupata masters in economics na kufanikiwa kupata kazi nzuri uingereza
 
watu wengine bwana, huyo Mary Shoo alikuwa na maslahi gani kwa taifa letu? tunatakiwa kumkumbuka kama nani? unataka kutulazimisha tumkumbuke mtu aliyekuwa hana elimu ambae anaweka shs bilioni 1 ndani badala ya bank?
saa zingine mkiondokewa na mahawara zenu msituletee hapa,
 
watu wengine bwana, huyo Mary Shoo alikuwa na maslahi gani kwa taifa letu? tunatakiwa kumkumbuka kama nani? unataka kutulazimisha tumkumbuke mtu aliyekuwa hana elimu ambae anaweka shs bilioni 1 ndani badala ya bank?
saa zingine mkiondokewa na mahawara zenu msituletee hapa,
 

alikuwa mfano wa kuigwa kuwa alikuwa mfanyabiashara mwanamke aliyefanikiwa kwa jitihada zake hasa ikizingatiwa sio rahisi kwa tanzania ya leo mwanamke kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kama chake
 
Plz. Punguza mikwala ingekuwa haikuhusu usinge changia.
 

ukitaka kila thread ikuhusu wewe hapa jf, utachemka tu!.
 
hella zote waeka ndani ili iweje...au ndo akijisikia kutabasamu anaenda zichungua!
 
mfano wa kuigwa na kina mama
namlaumu kwakufanya kizamani kuweka hela ndani, simple wakamatwe aliowauzia ndio
hao hao waliopanga dili na huenda ndio hao hao walimshauri achukue hela nyumbani badala ya bank.
polis wako wapi au nao washahongwa??
 
 
 
alikuwa mfano wa kuigwa kuwa alikuwa mfanyabiashara mwanamke aliyefanikiwa kwa jitihada zake hasa ikizingatiwa sio rahisi kwa tanzania ya leo mwanamke kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kama chake
sasa na wewe, mtu mwenye mafanikio anaweka bilioni nyumbani kweli?? au kulikua na nini behind it?

hata aliyenunua, hivi kweli unaweza ukatoa 800M cash?
 
nlisikirika nlivoskia alivoibiwa hakwenda kuripoti kituo polisi badala yake alilala ndani mpaka mauti yalipomkuta na chaajabu aliishi peke yake kwenye mjumba na mlinzi tu,mchagga huyu hakuzikwa kwao na uwezo ulikuwako najiuliza maswali lakini jibu spati mazingira ya mama huyu yalivyokuwa
 
Kuna mv mmoja hapa JF ana signature inasema ...ficha upumbavu wako... INAONYESHA HUJAMUELEWA KABISA
 
alikuwa mfano wa kuigwa kuwa alikuwa mfanyabiashara mwanamke aliyefanikiwa kwa jitihada zake hasa ikizingatiwa sio rahisi kwa tanzania ya leo mwanamke kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kama chake

Lubazi acha kutudanganya hapa! Huyo mama watu tunamjua sana hakuwa mfano wa kuigwa wala nini, utajiri wake aliupata kutoka kwa kibabu kimoja cha kizungu alichoolewa nacho na baadae kikafa kimtindo! Huyo mama ana nyumba chache tu kama mbili au tatu, hiyo ya masaki iko karibu na supermarket zamani masaki ilikuwa inaitwa europa supermaket miaka ya 84 alijengewa na hicho kizungu kibabu kabla hakijafa.mama wa kimachame kila mtu anajua tabia zao za udhulmati bana!
 
saragossa acha uongo aliyeoloewa na mzungu
ni mdogo wa marehemu Martha na ni kweli anamiliki
nyumba zaidi ya7 masaki wacha mikocheni na mbezi
 

wivu huo, inauma ee!? hapo umepata habari zake baada ya kufariki,je angekuwa hai hicho kisokolokwinyo chako ingekuwa balaa!
 


watu mnaishi maisha yenu kutaka kujua maisha ya watu wengine kwa nini. hao polisi wenyewe manaosema wanachukua muda gani kufika kwako ukkipiga simu? na ukienda huko kituoni chances za kupata vitu vyako vilivyoibiwa ni Zero. As far as kuishi peke yake ulitaka aishi na nani?watu tunazaa watoto and at some poit we have to let them live their lives move on , ulitaka akuadopt?
kuna sheria ya wachaga inayosema lazima wazikwe kwao? i dont think so. she lived he life the way she saw fit...
acha kutafuta majibu ya maswali yasiyokuhusu ,concetrate kwenye maisha yako and hopefully you you will get answers to the questions you really are avoiding about you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…