Kumekuchaaa na DP Word

Je hao wataachwa, hawatapigwa virungu kweli?
Lazima waachwe na vikundi vya hamasa hapo mjini vitatakiwa kushiriki. Mwigulu gulugulu atakodi boda boda hata buku kusupport maabdamano ya kishindo. Januari atatoa jiko la gesi kwa kila muandamanaji. Bila shaka malipo ya buku 7 yatakiwepo pia
 
Muandaaji ni Kuhani?!

Afadhali, kumbe wameshajua mwekezaji ameingiwa hofu, hilo ni jambo jema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…