kumekucha twendeni tukalijenge taifa

kumekucha twendeni tukalijenge taifa

Watu pori

Senior Member
Joined
Jan 15, 2017
Posts
100
Reaction score
39
Jumanne ya tarehe 15 tunamshukuru mungu kwa wale tulio wazima WA afya na wale wenye shida mbalimbali tunamuomba mungu awaponye ili waweze kurudi Katika majukumu yao ya kila siku. Kumekucha twendeni tukapambane kutafuta maisha na kujenga taifa letu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom