Ntaluke.N.
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,340
- 552
....
....wito kwa wananchi wakombozi watapita huko mwenye makande, ngubalu,maharage changia kwa moyo wako Mungu anakwenda kusema NENO oktoba
Tume huru ya Uchaguzi
Wanashikana Uchawi huko Dodoma sasa hivi....Mkuu wamekuwa vifusi sasa ni zamu ya MATINGATINGA(UKAWA) kutawanya vifusi
Ushindi mapema mwaka huu
Hahahaha sungwi,masangu gabhademi..twende kazi viva UKAWA
Ushindi mapema mwaka huu
Bado ya ukawa makubwa lao wameonyesha njia.
Kweli kabisa mkuu huu ni mpango Kazi tokomeza ccm ninaunga mkono hoja!!Ukawa watukumbushe zile namba za M-PESA,Tigopesa na Airtel money tutume jerojero za kampeni na kulipa mawakala.
Speed ni 120 hatujari kona hadi october
Kweli kabisa mkuu huu ni mpango Kazi tokomeza ccm ninaunga mkono hoja!!
Jogoo linawika dar, tetea limeshataga chimwaga
Mungu atupe nini tena UKAwa
ukiona maneno hata katika vitabu vya mungu ukiona vinafanyiwa ammendments ujue hayo ni maneno ya binadamu si ya mungu maneno ya mungu huwa yako varied Toka dunia imeumbwa lakini maneno ya binadamu yanafikia kipindi yakafanyiwa ammendment empre zote zilikufa kuanzia ottoman empire, Britain empire, roman empire sasa ni wakati wa rise&fall of ccm empire .
Mungu atupe nini tena UKAwa