MAMBO ndani ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM, (UV CCM) mkoani Arusha imezidi kuwa si shwari baada ya kikao cha baraza lao la mkoa kumkataka katibu wa CCM Mkoani hapa, Mary Chatanda kuacha kuwaingilia .
Aidha, wamemtaka ahudhurie vikao vya kikatiba vinavyomtambua kama mshauri wa jumuiya hiyo na atimize majukumu yake ya ulezi bila kubagua kwa madai kuwa mivutano ndani ya jumuiya hiyo imekuwa endelevu na inataka kufanana na ile ya Palestina na Israel.
Hayo yalisemwa juzi kwa nyakati tofauti na Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Robinson Meitinyiku na Katibu wa karatu , Ally Rajab wakitoa msimamo na maazimio ya kikao chao cha siku moja .