K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,943 Sep 5, 2014 #1 je unawakumbuka awa Attachments yanga.jpg 34.2 KB · Views: 216
E ebaeban JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 2,205 Reaction score 2,707 Sep 5, 2014 #2 Yanga ya akina Keneth Mkapa, Merhod Mogella, Zamoyoni Mogella, Said Mwamba Kizota n.k
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,215 Reaction score 15,608 Sep 6, 2014 #3 Yeah Method Mogella,one of the best defensive midfied kutokea bongo,alale anapostahili,Wengine Kizota Gagarino,walikuwa wachezaji wa kiwango kikubwa mno,lakini kama kawa wamekufa wakiwa masikini,walale wanapostahili..
Yeah Method Mogella,one of the best defensive midfied kutokea bongo,alale anapostahili,Wengine Kizota Gagarino,walikuwa wachezaji wa kiwango kikubwa mno,lakini kama kawa wamekufa wakiwa masikini,walale wanapostahili..
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Sep 7, 2014 #4 hawa wa kushoto karibu wote ni marehemu, Gaga, Kizota na Method huo wa tati sijamtambua
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Sep 7, 2014 #5 upande wa kulia ni Mkapa, Mziba na mwingine