kumbukumbu mjarabu

Yaani hapo kwa huyo jamaa aliyesema
I will hit ndiyo kazi ipo na sasa tena ni
uhasama wakati walikuwa pamoja.Ajabu!
 
Mpoki alikuwa kimbau mbau lol!!!!

Kweli hakuna mwembamba duniani kuna wafupi na warefu tu
 
hapo joti na mpoki ndio ilikuwa shughuli siku hizi shavu..
 
Yaani hapo kwa huyo jamaa aliyesema
I will hit ndiyo kazi ipo na sasa tena ni
uhasama wakati walikuwa pamoja.Ajabu!
Siku zote SIASA hainaga RAFIKI wa kuduma au ADUI wa milele !!
Mambo masilahi tu... Wanasemaga rafiki wa leo ni adui wa kesho na audi wa leo ni Swahiba wa kesho !!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…