englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
= halafu
Hivi hiyo shule ulienda kusomea ujinga?
Na Wewe Ndio Ulikuwa Mwalimu Wake.
Kijana wacha kiherehere.
Halafu huyu Monitor ni KE wanakuaga wanoko!
Nimekupata, asante sana. Namwomba radhi Elli kumsingizia kosa.
BTW kuna thread nimeku-quote kuna mtu kaandika makosa mengi sana.
Wewe ni jembe la uhakika. Wengine wakisahihishwa wanapanic maneno yanawatoka hadi unawahurumia... Big-up sana.