Idd amini yeye hakuepo duuh
Itakuwa ni historia inajirudia mkuu.NASKIA SIZONJE ATAKUTANA NA KAGAME KWENYE MILIMA YA USAMBARA..
Acha kuwajaza watu upepo.najua unataka kutetea udikteta uchwara wa MTU Fulani.kwani bila kuua hauwezi kuwaletea maendeleo wananchi wako?wanaweza wakachukiwa lakini huwenda ikawa nchi zao zisingefika hapo zilipo kama wasingekuwepo wao!
Achana nae bweg. E huyoAcha kuwajaza watu upepo.najua unataka kutetea udikteta uchwara wa MTU Fulani.kwani bila kuua hauwezi kuwaletea maendeleo wananchi wako?